[00:33.12] Vile ninavyoona [00:35.03] Vile ninavyohisi [00:37.60] Sikai kama mtu [00:39.44] Anaficha hisia [00:43.05] Huwezi kuficha moto moshi ikitokea [00:47.70] Ukificha mapenzi wee unaumia ndani ndani [00:53.03] Nashindwa kuelewa [00:54.63] Hii ni mwenendo gani [00:57.45] Taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje [01:02.83] Wacha nikupende mpenzi [01:06.36] Wacha nikuhisi ndani ndani [01:11.50] Nishike mkononi twende mbali [01:15.69] Kwetu (ingawa mbali) [01:18.45] Kwetu (huko ni nyumbani) [01:20.69] Kwetu, ntakubeba kwetu [01:24.39] Taratibu ni vema [01:28.25] Lakini kusiwe mwengine [01:31.04] Nielezee kwa nini wee una hofu na mimi [01:36.95] Nakupenda [01:38.35] I love you [01:39.75] Je t'aime [01:42.28] Hakika [01:43.25] Tazama [01:44.61] Uso wangu [01:46.78] Nimekumbwa [01:48.12] Na mzozo wa kiumapenzi [01:51.62] Natangaza wazi [01:54.45] Hadharani [01:56.67] Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona [02:01.07] Wacha nikupende mpenzi [02:04.99] Wacha nikuhisi ndani ndani [02:10.88] Nishike mkononi twende mbali [02:14.62] Kwetu (ingawa mbali) [02:17.03] Kwetu (huko ni nyumbani) [02:19.68] Kwetu, ntakubeba kwetu [02:26.09] Wacha nikupende mpenzi [02:29.60] Wacha nikuhisi ndani ndani [02:34.61] Nishike mkononi twende mbali [02:39.17] Kwetu (ingawa mbali) [02:41.34] Kwetu (huko ni nyumbani) [02:43.87] Kwetu, ntakubeba kwetu [03:34.72] Natangaza wazi [03:37.46] Hadharani [03:39.76] Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona [03:44.29] Wacha nikupende mpenzi [03:48.07] Wacha nikuhisi ndani ndani [03:53.37] Nishike mkononi twende mbali [03:57.58] Kwetu (ingawa mbali) [03:59.96] Kwetu (huko ni nyumbani) [04:02.23] Kwetu, ntakubeba kwetu [04:08.72] Wacha nikupende mpenzi [04:12.85] Wacha nikuhisi ndani ndani [04:17.74] Nishike mkononi twende mbali [04:21.69] Kwetu (ingawa mbali) [04:24.36] Kwetu (huko ni nyumbani) [04:26.89] Kwetu, ntakubeba kwetu [04:36.43]