♫rap♫ Jambo, jambo bwana Habari gani, mzuri sana Tuimbe tucheze sote Kiswahili ni lugha ya Africa Jambo, (Ho~) jambo bwana (Hey~) Habari gani,(Ho~) mzuri sana (Hey~) Tuimbe (Ho~) tucheze sote (Hey~) Kiswahili ni lugha ya Africa ♫rap♫ Jambo, jambo bwana Habari gani, mzuri sana Tuimbe tucheze sote Kiswahili ni lugha ya Africa Jambo, (Ho~) jambo bwana (Hey~) Habari gani,(Ho~) mzuri sana (Hey~) Tuimbe (Ho~) tucheze sote (Hey~) Kiswahili ni lugha ya Africa Leo tufurahi hakuna matata Reggae babu kubwa hakuna matuta Burudani sali hakuna matuta Aah tucheze sote hakuna matuta Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa Upende usipende utapenda kwa hakika oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~ Michael Jackson kaimba Kiswahili Lionel Richie kamfuata ni wa pili oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~ Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani Maisha Africa yatakua na thamani oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~oh~ Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell oh~oh~oh~ hakuna matata (Ho~ Hey~) hakuna matata (Ho~ Hey~) hakuna matata (Ho~ Hey~)