[00:09.37] Estukiz bebi [00:10.81] Nainua mkono mama [00:12.38] Moyo wangu mweupe [00:15.15] Ishara ya mapenzi mama [00:17.11] Too much money [00:18.23] Mi amor mi amor [00:20.71] Bebi sinzia kifuani fofo [00:24.07] Tega leo zamu yako [00:26.19] Naipani kamia yako show [00:29.19] Hakuna kuomba poo [00:32.39] Tunayofanya chumbani usiweke hadharani wakaona [00:37.82] Kwako mimi abadani tena sishindani, nimekoma [00:43.73] Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndooo [00:48.88] Mimi kwako kama mchungaji we ndo kondoo [00:52.35] Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha [00:56.64] Kama mgonjwa napona [00:58.60] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako [01:03.89] Nikikwona nahisi raha [01:06.92] Kama mgonjwa napona [01:09.09] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako [01:13.95] Mi amor. mi amor [01:16.33] Mi amor. mi amor [01:18.81] Mi amor. mi amor [01:21.42] Mi amor. mi amor [01:24.29] Mi amor. mi amor [01:26.87] Mi amor. mi amor [01:29.45] Mi amor. mi amor [01:31.94] Mi amor. mi amor [01:35.26] [01:44.81] Nitazame bebi nishike shingoni [01:47.35] Yako mipapaso maruhani [01:49.90] Nikumbate unaponikisi mdomoni [01:52.58] Nilichoonja kwako sikitemi [01:55.76] Mie natamani leo mpaka kesho tusije gombanaa [02:01.58] Toka zamani niko nawe, kufa kufaana [02:05.64] Ooh bebi [02:07.18] Usiniweke saizi ya kidumu labda kwenye ndoo [02:11.92] Mimi kwako kama mchungaji wewe ndo kondoo [02:15.75] Nikikwo nikikwo nikikwona nahisi raha [02:19.86] Kama mgonjwa napona [02:21.71] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako [02:27.16] Nikikwona nahisi raha [02:30.45] Ka mgonjwa napona [02:32.33] Aiii mama najidekeza, najitamba kwako [02:37.48] Mi amor. mi amor [02:39.64] Mi amor. mi amor [02:42.29] Mi amor. mi amor [02:44.82] Mi amor. mi amor [02:47.44] Mi amor. mi amor [02:50.08] Mi amor. mi amor [02:52.85] Mi amor. mi amor [02:55.43] Mi amor. mi amor [02:57.83] Nainua mkono mama [02:59.48] Moyo wangu mweupe [03:01.95] Ishara ya mapenzi mama [03:04.85] Mi amir mi amor [03:06.27]