Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu ee Mungu akileta mtoto, analeta sahani yake Lete nitamlea, usitoe mimba yangu ee Mungu akileta mtoto analeta sahani yake Huenda akawa Obama, atawale Amerika Huenda akawa Lupita, Oscar nazo akashinda Huenda akawa Onyama, acheze soka Uingereza Huenda akawa Kenyatta, Mwanzilishi wa taifa () Nitamlea oooh ooh Huenda akawa Maathai, ailinde mazingira Huenda akawa Makeba, nyimbo nzuri akatunga Huenda akawa Nyerere, aongoze Tanzania Huenda akawa Mandela, mkombozi wa Afrika () (... Guitar...) Nakuomba Nerea, Nerea, Nerea. Usitoe mimba yangu (2*) Huenda akawa Kagame, atawale Jaramogi Odinga, tuungane Huenda akawa Tom Mboya, huenda akawa Rudisha, huenda akawa malaika Mungu ametupatia Huenda akawa Sauti Sol (sauti sol) Huenda akawa Amos and Joe Huenda akwa yeaaah Huenda akawa malaika Mungu ametupatia. (THE END...)