| 歌曲 | Atarudi |
| 歌手 | Harmonize |
| 专辑 | Atarudi |
| [00:25.03] | Mmmmh... |
| [00:38.75] | Na yeye ni mwanadamu dunia tunapita Aaaah |
| [00:46.15] | Kama kupata kwa zamu (Oooh Zamu) Yangu Itafika. |
| [00:54.86] | Siwezi Kaa na Damu kesho wataja nizika ila |
| [01:05.94] | Ningependa uFahamu Haya Mateso ulonipa.Mmmh |
| [01:15.14] | Tena Mwambieni Aloninyima mimi ndo Kampa Yeye Eeeeh. |
| [01:24.33] | Kupata Foleni Nasubiri Yangu mimi Ataichelewe eeeh... |
| [01:31.84] | Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. |
| [01:39.65] | Aaaah |
| [01:42.57] | Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? |
| [01:49.01] | Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema |
| [01:52.52] | Aatarudi (Atarudi Mama)| |
| [01:56.96] | Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 |
| [02:04.26] | Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi | |
| [02:27.81] | Siwezi Sema Sijui Tatizo Hali yangu Duni imefanya |
| [02:32.07] | ukanikimbia... Ni vyema Ungefanya maigizo. Mara kumi Usingenizalia |
| [02:43.60] | Ingali Mapenzi Pekee ningesema Nichangamoto |
| [02:50.96] | Nijifunze Ameniacha Mpwekeee Na watoto Niwatunze. |
| [03:02.26] | Eee eh |
| [03:04.13] | Ila siwezi Mlaumu... Huenda Yupo Sawa. |
| [03:10.27] | Aaaah |
| [03:12.88] | Kipato Changu Kigumu Kutwa bumunda na Kahawa... |
| [03:21.15] | Ila mwambieni alieninyima Mimi Ndo kampa Yeye... |
| [03:28.55] | Eee eh |
| [03:30.60] | Kupata Foreni Nasubiri Yangu Mimi itaichelewe |
| [03:36.88] | Eee eh |
| [03:39.62] | Oooohhh |
| [03:40.66] | Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. |
| [03:46.80] | Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya???? |
| [03:56.27] | Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema |
| [04:00.28] | Aatarudi (Atarudi Mama)| |
| [04:05.14] | Atarudi (Anawapenda Sana). | ×2 |
| [04:09.33] | Aatarudi (Atawaletea zawadi) Atarudi |
| [04:53.23] | Ohhhh My God Its Person... |
| [00:25.03] | Mmmmh. . . |
| [00:38.75] | Na yeye ni mwanadamu dunia tunapita Aaaah |
| [00:46.15] | Kama kupata kwa zamu Oooh Zamu Yangu Itafika. |
| [00:54.86] | Siwezi Kaa na Damu kesho wataja nizika ila |
| [01:05.94] | Ningependa uFahamu Haya Mateso ulonipa. Mmmh |
| [01:15.14] | Tena Mwambieni Aloninyima mimi ndo Kampa Yeye Eeeeh. |
| [01:24.33] | Kupata Foleni Nasubiri Yangu mimi Ataichelewe eeeh. . . |
| [01:31.84] | Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. |
| [01:39.65] | Aaaah |
| [01:42.57] | Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya? ? ? ? |
| [01:49.01] | Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema |
| [01:52.52] | Aatarudi Atarudi Mama |
| [01:56.96] | Atarudi Anawapenda Sana. 2 |
| [02:04.26] | Aatarudi Atawaletea zawadi Atarudi |
| [02:27.81] | Siwezi Sema Sijui Tatizo Hali yangu Duni imefanya |
| [02:32.07] | ukanikimbia. . . Ni vyema Ungefanya maigizo. Mara kumi Usingenizalia |
| [02:43.60] | Ingali Mapenzi Pekee ningesema Nichangamoto |
| [02:50.96] | Nijifunze Ameniacha Mpwekeee Na watoto Niwatunze. |
| [03:02.26] | Eee eh |
| [03:04.13] | Ila siwezi Mlaumu. . . Huenda Yupo Sawa. |
| [03:10.27] | Aaaah |
| [03:12.88] | Kipato Changu Kigumu Kutwa bumunda na Kahawa. . . |
| [03:21.15] | Ila mwambieni alieninyima Mimi Ndo kampa Yeye. . . |
| [03:28.55] | Eee eh |
| [03:30.60] | Kupata Foreni Nasubiri Yangu Mimi itaichelewe |
| [03:36.88] | Eee eh |
| [03:39.62] | Oooohhh |
| [03:40.66] | Sina Furaha Naigiza ilimradi Watoto wasijihisi Vibaya. |
| [03:46.80] | Huyu Mdogo Anauliza eti daddy mama ameihama Kaya? ? ? ? |
| [03:56.27] | Chakujibu Sina Nabaki Tu kusema |
| [04:00.28] | Aatarudi Atarudi Mama |
| [04:05.14] | Atarudi Anawapenda Sana. 2 |
| [04:09.33] | Aatarudi Atawaletea zawadi Atarudi |
| [04:53.23] | Ohhhh My God Its Person. . . |