Kwetu

Kwetu 歌词

歌曲 Kwetu
歌手 Kidum
专辑 Ishano
下载 Image LRC TXT
[00:33.12] Vile ninavyoona
[00:35.03] Vile ninavyohisi
[00:37.60] Sikai kama mtu
[00:39.44] Anaficha hisia
[00:43.05] Huwezi kuficha moto moshi ikitokea
[00:47.70] Ukificha mapenzi wee unaumia ndani ndani
[00:53.03] Nashindwa kuelewa
[00:54.63] Hii ni mwenendo gani
[00:57.45] Taratibu ni vema lakini isiwe kunirusha inje
[01:02.83] Wacha nikupende mpenzi
[01:06.36] Wacha nikuhisi ndani ndani
[01:11.50] Nishike mkononi twende mbali
[01:15.69] Kwetu (ingawa mbali)
[01:18.45] Kwetu (huko ni nyumbani)
[01:20.69] Kwetu, ntakubeba kwetu
[01:24.39] Taratibu ni vema
[01:28.25] Lakini kusiwe mwengine
[01:31.04] Nielezee kwa nini wee una hofu na mimi
[01:36.95] Nakupenda
[01:38.35] I love you
[01:39.75] Je t'aime
[01:42.28] Hakika
[01:43.25] Tazama
[01:44.61] Uso wangu
[01:46.78] Nimekumbwa
[01:48.12] Na mzozo wa kiumapenzi
[01:51.62] Natangaza wazi
[01:54.45] Hadharani
[01:56.67] Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[02:01.07] Wacha nikupende mpenzi
[02:04.99] Wacha nikuhisi ndani ndani
[02:10.88] Nishike mkononi twende mbali
[02:14.62] Kwetu (ingawa mbali)
[02:17.03] Kwetu (huko ni nyumbani)
[02:19.68] Kwetu, ntakubeba kwetu
[02:26.09] Wacha nikupende mpenzi
[02:29.60] Wacha nikuhisi ndani ndani
[02:34.61] Nishike mkononi twende mbali
[02:39.17] Kwetu (ingawa mbali)
[02:41.34] Kwetu (huko ni nyumbani)
[02:43.87] Kwetu, ntakubeba kwetu
[03:34.72] Natangaza wazi
[03:37.46] Hadharani
[03:39.76] Nakupenda sana niko na wewe kufa na kupona
[03:44.29] Wacha nikupende mpenzi
[03:48.07] Wacha nikuhisi ndani ndani
[03:53.37] Nishike mkononi twende mbali
[03:57.58] Kwetu (ingawa mbali)
[03:59.96] Kwetu (huko ni nyumbani)
[04:02.23] Kwetu, ntakubeba kwetu
[04:08.72] Wacha nikupende mpenzi
[04:12.85] Wacha nikuhisi ndani ndani
[04:17.74] Nishike mkononi twende mbali
[04:21.69] Kwetu (ingawa mbali)
[04:24.36] Kwetu (huko ni nyumbani)
[04:26.89] Kwetu, ntakubeba kwetu
[04:36.43]
Kwetu 歌词
YouTube搜索结果 (转至YouTube)